Rais Mwinyi aongoza Baraza la Mapinduzi Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, akiongoza kikao cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika Pemba leo Januari 11. Kikao hicho cha Baraza la Mapinduzi ni cha kwanza kwa mwaka 2025.(Picha na Ikulu habari Zanzibar)