Rais Samia akimfariji Dk. Mwinyi

ZANZIBAR : RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiongozana na viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na mamia ya wananchi katika maziko ya kaka yake, marehemu Abbas Ali Mwinyi, aliyefariki jana.