Rais Samia akutana na Rais wa CAF

RAIS wa Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba.

Motsepe yuko nchini kushuhudia mchezo wa African Football League kati ya Simba SC dhidi ya Al-Ahly uwanja wa Mkapa.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
AmberBolduc
AmberBolduc
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by AmberBolduc
Back to top button
1
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x