Rais Samia amuapisha mwanasheria mkuu wa serikali

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Hamza Said Johari, mara baada ya tukio la uapisho, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.




