Rais Samia apokea hati za balozi wa Niger

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Niger hapa nchini mwenye makazi yake Addis Ababa nchini Ethiopia, Amadou Hassane Mai Daboua kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 26.