Umemtambua straika wa boli?

DAR ES SALAAM; Huyo wa mbele kabisa kulia ni miongoni mwa vipaji vikubwa katika safu ya ushambuliaji Tanzania aliyeng’ara na klabu ya Simba ya Dar es Salaam miaka ya 1990. Mguuni mali ilikuwepo, kichwani ndo usiseme. Je umemtambua? Unamkumbuka kwa lipi? RIP straika wa boli. Nyuma anayefuatia ni mshambuliaji David Mihambo na Malota Soma.



