Rais Dk Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, Crispin Chalamila kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Machi 27. (Picha na Ikulu)