Rais Samia azindua rasmi usafirishaji mizigo kwa SGR

PWANI; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma eneo la Kwala Marshalling Yard mkoani Pwani leo Julai 31, 2025.
–