Rais Samia azindua Sera ya Taifa ya Maji 2002 Toleo la 2025

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan akizindua Sera ya Taifa ya Maji 2002, Toleo la 2025 leo Machi 22 jijini Dar es Salaam.
Katika hafla hiyo Rais Dk Samia ameonyeshwa vifaa mbali mbali vinavyotumika katika utafutaji wa vyanzo na uchimbaji wa visima vya maji.(Picha na Ikulu)

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button