RAIS Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dk Alex Gehaz Malasusa mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre leo Juni 05, 2025. (Picha na Ikulu)