Rayvany anawaza ngoma na Adele

MSANII wa Bongo fleva nchini Raymond Shabani ‘Rayvanny’ amesema kuwa anatamani kufanya kazi na Mwimbaji kutoka nchini Uingereza Adele.

Rayvanny amesema kila msanii ana ndoto zake ‘dream’ kwa upande wake anatamani kufanya kazi ya muziki yaani collabo na Adele.

“Natamani kuja kufanya wimbo na Adele, mwimbaji na mwandishi wa nyimbo wa Uingereza aliyewahi kuitikisa dunia na ngoma yake inayoitwa ‘Hello’ nampenda na natamani kufanya kazi nae.

” amesema Rayvany

Habari Zifananazo

Back to top button