MWANZA: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda (kushoto) akimsikiliza Meneja Mahusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Neema Temba, ofisini kwa Mkuu wa Mkoa huyo alipomtembelea Ijumaa.