Ridhiwa: Serikali ya awamu 6 inajali wananchi

Katika kipindi cha nusu mwaka wa Bajeti hadi kufika Mwezi Oktoba serikali ya awamu ya sita imekwisha peleka zaidi ya Shilingi Bilioni 4.67 mkoani Mbeya ili kutekeleza miradi mbalimbali ya ardhi ikiwemo ya kupima, kupanga, na kumilikisha ardhi.

 

Advertisement
Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *