Salum Mwalimu mgombea urais Chaumma

DAR ES SALAAM; CHAMA cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimemteua Salum Mwalimu Jumaa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Uamuzi hupo umetangazwa muda mfupi uliopita kwenye Mkutano Mkuu wa Chaumma unaoendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button