Samatta atimkia Ugiriki

NAHODHA wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta amejiunga na Klabu ya PAOK inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Ugiriki, akitokea KRC Genk ya Ubelgiji.