Samatta: Tutashinda

Mbwana Samatta

NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ametoa matumaini ya timu hiyo kufanya vizuri kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) ambapo Tanzania itacheza na Morocco leo.

“Tuko hapa kuhakikisha tunashindana” Nahodha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mbwana Samatta kuelekea mchezo Kundi ‘F’dhidi ya Morocco hapo leo.

Mechi hiyo itachezwa saa 2:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Advertisement

Usisahau pia Daily News Digital ‘Youtube’ itakuwa LIVE kukupa uchambuzi wa kina kuhusu mchezo huo.