Rais Dk Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi, wahitimu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo, Masaki jijini Dar es Salaam leo Februari 21. (Picha na Ikulu)