Rais Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Nishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (The Grand Cordon) na Makamu wa Rais wa CISM Kanda ya Afrika Meja Jenerali Maikano Abdullahi kutoka Nigeria kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 14, 2025.(Picha na Ikulu)