Samia azindua Kamati Tathmini Mambo ya Nje

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua KamatiĀ ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ikulu jijini Dar es Salaam.