Samia azindua ugawaji boti za kisasa nchi nzima

Rais Samia Suluhu Hassan akizundua ugawaji wa Boti kubwa za kisasa 120 pamoja na boti saidizi 118 kwa nchi nzima.

Kwa upande wa Mkoa wa Tanga, Rais Samia amekabidhi boti kubwa 30 kati ya 35 pamoja na boti saidizi 60 kwenye hafla iliyofanyika Pangani mkoani humo leo Februari 26. (Picha na Ikulu)

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button