Selamani Mkati (wa kwanza kulia waliosimama) akiwa na kikosi cha Yanga mwanzoni mwa miaka ya 1990.
DAR ES SALAAM; BEKI wa zamani wa Yanga, Sigar na Pilsner zote za Dar es Salaam, Selemani Mkati (wa kwanza kulia waliosimama), amefariki dunia. Taarifa zaidi zitakujia.