..Sh Milioni 50 kutolewa kukamatwa Chacha

MKUU wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha, ametangaza kuongeza dau la zawadi kutoka shilingi milioni 20 hadi milioni 50 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa sahihi zitakazomsaidia kukamatwa mtuhumiwa anayefahamika kwa jina la Chacha anayesakwa kwa mauaji ya watoto wawili wa mke wake.

Paul Chacha ameeleza kuwa awali alitangaza dau la milioni 20 lakini jitihada za awali zilizoleta watu wawili kujiandikisha zilibainika kuwa hawakuwa wamempata mtuhumiwa sahihi. Mkuu wa mkoa amesema jitihada za kumkamata Chacha zinaendelea kwa nguvu na wananchi wanahimizwa kutoa taarifa muhimu.

Tukio hilo linahusiana na mauaji ya watoto wawili waliouawa na kuzikwa ndani ya nyumba ya mtuhumiwa katika Kijiji cha Usimba, Wilaya ya Kaliua lililotokea mwaka 2022. Serikali ya Mkoa imesema kuwa msako dhidi ya mtuhumiwa umeimarishwa na jitihada zote za kisheria zinafanyika kuhakikisha anafikishwa mbele ya vyombo vya sheria. SOMA: Mpogolo: Wahusika mauaji ya mzee Salehe wakamatwe

 

Habari Zifananazo

5 Comments

  1. Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…

    THIS→→→→ https://Www.FindJobs1.Site

    1. I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
      .
      HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com

    2. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…

      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com

  2. I just came across this amazing way to earn $6,000-$8,000 a week online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
    .
    Follow Here …………… http://www.giftpay7.vip

  3. Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…

    THIS→→→→ https://Www.FindJobs1.Site

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button