Shangwe la Yanga Kigoma

KIGOMA; SEHEMU ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza kuwapokea wachezaji wa timu hiyo Uwanja wa Ndege mkoani Kigoma, wakati Yanga ilipowasili kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mashujaa utakaofanyika Jumapili wiki hii Uwanja wa Lake, Tanganyika mkoani Kigoma. (Picha kwa hisani ya mtandao wa Yanga).-

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button