Simba safi, jambo litamalizika Sauzi!

ZANZIBAR; HILI la leo limeisha. Tukutane Afrika Kusini Jumapili ya Aprili 27, 2025.

Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzuia mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba ya Tanzania na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini uliomalizika muda mfupi uliopita Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar na Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0 mfungaji akiwa Jean Charles Ahoua dakika ya 45+2.

Kutokana na matokeo hayo Simba sasa inahitaji sare ya aina yoyote katika mchezo wa marudiano itakuwa imetinga hatua ya fainali ya michuano hiyo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button