Simba waja kivingine zaidi

DAR ES SALAAM: Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba Imani Kajula amesema klabu hiyo imedhamiria kuendelea kuiteka mitandao ya kijamii ndio maana leo Novemba 14, 2023 wamezindua chaneli ya Whatsapp ili kuongeza urahisi wa upatikanaji wa taarifa za timu hiyo.

Kajula amesema kutokana na nguvu ya mtandao huo na urahisi wake wameshawishika kuwa miongoni mwa timu zinatakazotumia mtandao huo uliopakuliwa na watu zaidi ya bilioni mbili ulimwenguni kote.

“Leo tumezindua Simba Sports Club WhatsApp Channel, imepakuliwa na watu bilioni 2.2 duniani na ndio mtandao umepakuliwa zaidi duniani,WhatsApp wenyewe walitutafuta kuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kuwa na channel hii.

“Ni timu chache kama Kaizer Chiefs, Al Ahly, Barcelona, Real Madrid na Simba tumejiunga, katika kuijaribu kabla ya kuzindua ndani ya wiki. Tumepata wafuasi 100,000 ,faida kubwa ni kwa mashabiki kupata taarifa na wadhamini wetu kuonyesha bidhaa zao,” amesema Kajula

Meneja wa habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally amesema klabu hiyo ni wafalme katika matumizi ya mitandao ya kijamii na safari hii wamepania zaidi.

“Katika maeneo yote ya mitandao ya kijamii Simba tumekuwa tukifanya vizuri na leo tumezindua mtandao mwingine na itakuwa na faida kubwa kwa mashabiki. Tunafahamu urahisi wa kutumia WhatsApp kwa hiyo hii itakuwa njia rahisi ya kufikia watu wengi, kuna wengine hawatumii Instagram wala Facebook lakini wana WhatsApp,” amesema Ahmed Ally.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
MONEY OUT (UCHUMI WA MAMBO MACHAFU)
MONEY OUT (UCHUMI WA MAMBO MACHAFU)
25 days ago

BARUA YA WAZI KWA MWANAMZIKI MASHUHURI ZUCHU au UCHU

TUPO DARASANI TUNAMSUBIRI MWALIMU… HAYA MAMBO HAYATAKIWI KWA NINI YAPO KAMA NA KWA NINI YANAZUNGUMZIWA KWENYE JAMII AU WATU

1. UVAMIZI WA VIWANJA,
2. HATUNA KAZI,
3. MADAWA YA KULEVYA,
4. BANGI,
5. UMALAYA,
6. MAPENZI YA JINSIA MOJA
7. KUACHANA
8. UFISADI
9. VITA
10. ULEVI
11. MAUAJI
12. KUELEWA KAZI/MASOMO
13. KUSOMA SANA N.K
14. ubakaji
15. ulawiti
16. KUROGWA NA WAZUNGU KUPITIA MOVIE ZA PONOGRAFIA – kuwa unatakiwa ufanye

POTEKEA HIZI NDIO TAKWIMU ZA WATU WANAOJIUA KILA SIKU/WIKI/MWEZI/MWAKA/SAA/DAKIKA/SEKUNDE.. TUTAENDELEA KUHESABU

Suicide – WHO response​
Key facts​

  • More than 700 000 people die due to suicide every year.
  • For every suicide there are many more people who attempt suicide. A prior suicide attempt is an important risk factor for suicide in the general population.
  • Suicide is the fourth leading cause of death among 15–29-year-olds.
  • Seventy-seven per cent of global suicides occur in low- and middle-income countries.
  • Ingestion of pesticide, hanging and firearms are among the most common methods of suicide globally.
Capture1.JPG
Thelmairanda
Thelmairanda

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 25 days ago by Thelmairanda
Angila
Angila
25 days ago

Making every month extra dollars by doing an easy job Online. Last month i have earned and received $18539 from this home based job just by giving this only mine 2 hrs a day. Easy to do work even a child can get this and start making money Online. Get this today by follow instructions
.
.
.
On This Website……………..> > http://remarkableincome09.blogspot.com

Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x