Simba wakitaka lao hawazuiliki!

SINGIDA: SIMBA imeendeleza rekodi ya ushindi katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu baada ya leo kuifunga Singida Fountain Gate mabao 1-2 Uwanja wa Liti,mkoani Singida na kuzidi kuwapa raha mashabiki wake.

Kutokana na matokeo hayo Simba imefikisha pointi 15 na kurejea kileleni kutoka nafasi ya tatu iliyokuwa ikishikilia, ikiwa imeshinda michezo yote mitano iliyocheza hadi sasa. Mabao ya Simba yakifungwa na Saido Ntibazonkiza dakika ya 26 na Mosses Phiri dakika ya 83, wakati la Singida likifungwa na Deus Kaseke dakika ya 52.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
9 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Work AT Home
Work AT Home
1 month ago

Earn money in USA, high scores from trusted resources. Work at your own pace. Regular Payments. Search in different job categories. Work anywhere on your vs03 computer, laptop or mobile phone. Update your profile at any time.
.
.
Detail Here———->>> http://Www.Smartcash1.com

Last edited 1 month ago by Work AT Home
evelynroberts
evelynroberts
1 month ago

Earn an additional $15,000 per month by doing basic internet copy and paste tasks from home. This simple at-home job paid me $18,000 each year. Everyone may now easily earn additional cash online.
.
.
Detail Here————————————————————>>>  http://Www.BizWork1.Com

viwanja
viwanja
1 month ago

UCHANGUZI LEO
Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mazungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Honghera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA

Capture.JPG
viwanja
viwanja
1 month ago

UCHANGUZI LEO
Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mazungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Honghera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA…

Capture.JPG
viwanja
viwanja
1 month ago

UCHANGUZI LEO
Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mazungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Honghera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA..

Capture.JPG
WORK DONE
WORK DONE
1 month ago

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mazungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA……

Capture1.JPG
WORK DONE
WORK DONE
1 month ago

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mazungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA/

Capture1.JPG
UCHANGUZI LEO
UCHANGUZI LEO
1 month ago

Mfanyabiashara. Tajiri Uganda Aoa Wake 7 kwa Wakati Mmoja Wakiwemo Dada 2 Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/watu/520777-mfanyabiashara-tajiri-uganda-aoa-wake-7-kwa-wakati-mmoja-wakiwemo-dada-2/

UCHANGUZI LEO
UCHANGUZI LEO
1 month ago

Mfanyabiashara. .Tajiri Uganda Aoa Wake 7 kwa Wakati Mmoja Wakiwemo Dada 2 Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/watu/520777-mfanyabiashara-tajiri-uganda-aoa-wake-7-kwa-wakati-mmoja-wakiwemo-dada-2/

Back to top button
9
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x