Simba yaagana na Banda

Klabu ya Simba imethibitisha kuachana na winga wao raia wa Malawi, Peter Banda.

buy zetia online http://www.b-nutritious.com/images/other/jpg/zetia.html no prescription pharmacy

Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii klabu hiyo imemshukuru mchezaji huyo kwa kipindi chote alichokuwepo.

Banda alisajiliwa mwaka 2021 akitokea klabu ya Nyasa Big Bullet ya Malawi na ameitumikia klabu ya Simba misimu miwili 2021/2022 na 2022/2023

Habari Zifananazo

3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button