Singida BS wapania kung’ara kimataifa

ZANZIBAR; TIMU ya Singida Black Stars leo itaivaa Stellenbosch FC katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar mchezo wa Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika.
Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema hawatarudia makosa yaliyowafanya wakapoteza pointi tatu kwenye mchezo wa kwanza.
“Mchezo wa kwanza tulipoteza lakini tumepata mafunzo. Malengo yetu yalikuwa kuingia hatua ya makundi na kwa asilimia 100 tumefanikiwa.
“Hii ni fursa kubwa kwetu na tunaamini bado tuna nafasi ya kufanya vizuri katika mechi tano zilizobaki,” alisema.
Alisema kikosi kipo kamili baada ya kurejea kwa kiungo Khalid Aucho, aliyekosekana kwenye mchezo wa awali, huku wachezaji wote wakiwa katika hali nzuri na tayari kuwakilisha nchi.




I make up to $90 an hour working from my home. My story is that I quit working at Walmart to work online and with a little effort I easily bring in around $40h to $86h… Someone was good to me by sharing this link with me, so now i am hoping i could help someone else out there by sharing this link…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com