Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson, leo Mei 20 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma.
Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge Ndg. Baraka Leonard. (Picha na Bunge la Tanzania)