HAIJAISHA mpaka iishe, mchezo wa kundi F kati ya Tanzania na Morocco umeenda mapumziko Stars ikiwa nyuma bao 1-0.
Bao la Morocco limefungwa na beki wa zamani wa Everton, anayekipiga Al-Shabab, Roman Saiss dakika ya 31.
Takwimu zinaonesha Morocco imepiga mashuti manane, Stars haijapiga shuti lolote kwa dakika zote 45.