Tanga wana jambo lao leo

TANGA :MATUKIO mbalimbali yakionesha wananchi wakielekea Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kwenye mkutano wa hadhara wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambapo leo mchana atazungumza na wananchi hao ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani humo (Picha zote na Samwel Swai).






