Tanzania mwenyeji mkutano wa kupinga ukeketaji

DAR ES SALAAM: TANZANIA ni mwenyeji wa Mkutano wa pili wa Kimataifa wa Kutokomeza Ukeketaji ulio chini ya Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU).
Mkutano huu unafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, Dar es Salaam kuanzia leo Oktoba 09 hadi Oktoba 11, 2023
Zaidi ya washiriki 900 wanahudhuria Mkutano huu, kati yao 200 ni washiriki wa ndani na 700 ni kutoka Mataifa mengine.
Kauli mbiu ya Mkutano huu “Mabadiliko katika kizazi kimoja kwenda kingine ni muhimu katika kutokomeza vitendo vya Ukeketaji”

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA

Capture.JPG
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA..

Capture1.JPG
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA…..

Capture.JPG
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA…../

Capture1.JPG
Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x