Mkumbo: Changamkieni matibabu bure

DAR ES SALAAM:WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof,Kitila Mkumbo amewataka wananchi kuchangamkia kambi ya matibabu bure na ushauri wa kitabibu unaotolewa katika Kituo cha Biashara Cha Afrika Mashariki (EACLC) kwani ina lengo la kiwasaidia matibabu wananchi bila malipo.

Hayo ameyasema jana wakati alipotembelea katika kituo hicho cha kibiashara ambapo kambi hiyo imeanza jana na itaisha leo na kusema kuwa kwenye kambi hiyo kuna vipimo vikubwa ikiwa imetokana na mahusiano mazuri baina ya Tanzania na China.
Aidha Prof Mkumbo ameomba kambi hiyo ya kimatibabu ifanyike kila mwaka kwani muitikio wa wananchi umekuwa mkubwa na inawasaidia wananchi kupata huduma za kimatibabu.

Kwa Upande wake Mkurugenzi wa Kituo cha Kibiashara Afrika Mashariki ( EACLC) Cathy Wang amesema kambi hiyo ya kimatibabu kama kituo cha kibiashara wameamua kurudisha fadhila kwa jamii inayowazunguka kwani biashara inayokuwa ni lazma iende sambamba na jamii.
Kwa upande wao wananchi walipata huduma hiyo Shabani Said na Rose Muhaya wamesema matibabu hayo yamewasaidia na wamepata huduma nzuri huku wakiomba siku ziongezwe kwani siku mbili ni ndogo na wingi wa wawatu ni mkubwa




JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com
I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
.
This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com
I’ve gained $17,240 only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, I was very troubled and thankfully I’ve located this project now in this way I’m in a position to receive thousand USD directly from home. Each individual certainly can do this easy work & make more greenbacks online by visiting
following website——>>> www.work27.online