Tanzania yajipanga kwa COP11 Geneva

UJUMBE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umefika mjini Geneva tayari kuanza Mkutano wa 11 wa Nchi wanachama  wa Mkataba wa WHO wa Kudhibiti Tumbaku (WHO FCTC COP11 ), unaofanyika  Geneva , Uswiss tarehe 17–22 Novemba 2025.

Ujumbe huu unaongozwa na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Balozi Abdallah Saleh Possi, na unajumuisha wataalam kutoka Wizara ya Afya, Fedha, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kilimo, Uwekezaji, Viwanda na Biashara.

Katika picha ni aliyekuwa Balozi wa Tanzania  Geneva na Italia Dk. James Msekela ambaye ni miongoni mwa ujumbe huu. Kushoto ni Mwakilishi wa Kudumu Geneva Balozi Dk. Abdallah Possi na kulia ni Naibu Mwakilishi wa Kudumu Balozi Dk. Hoyce Temu.

Tanzania inaendelea kuonyesha dhamira ya kulinda afya ya umma na kuimarisha mikakati thabiti ya kudhibiti matumizi ya tumbaku kimataifa. SOMA: TMDA ‘yakomaa’ viwango WHO

Habari Zifananazo

8 Comments

  1. Ujenzi wa Ofisi za UBALOZI WA INDIA MKOA DODOMA UMEFIKIA ASILIMIA 92

    1. I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
      .
      HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

    2. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com

  2. Ujenzi wa Ofisi za UBALOZI WA UJERUMANI MKOA DODOMA UMEFIKIA ASILIMIA 92

  3. Ujenzi wa Ofisi za UBALOZI WA CANADA MKOA DODOMA UMEFIKIA ASILIMIA 92

  4. Ujenzi wa Ofisi za UBALOZI WA INDIA MKOA DODOMA UMEFIKIA ASILIMIA 92.

  5. Ujenzi wa Ofisi za UBALOZI WA INDIA MKOA DODOMA – UMEFIKIA ASILIMIA 92 Balozi wa INDIA KAPONGEZWA

  6. Ujenzi wa Ofisi za UBALOZI WA INDIA MKOA DODOMA UMEFIKIA ASILIMIA 92 UBALOZI WA INDIA KAPONGEZWA KWA HATUA HIYO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button