Tanzania yawasilisha tamko itifaki ya Montreal

NAIBU Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme akiwasilisha Tamko la Serikali ya Tanzania katika Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Itifaki ya Montreal kuhusu Kemikali zinazomong'onyoa Tabaka la Ozoni na Mkataba wa Vienna kuhusu ulinzi wa Tabaka la Ozoni. Mkutano huo unafanyika mji mkuu wa Thailand, Bangkok.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)