TASWA yamlilia Mzee Mwenda

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba wa kiongozi wa zamani wa TASWA, Peter Mwenda aliyefariki dunia alfajiri ya leo Agosti 16, 2023 jijini Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa TASWA, Alfred Lucas imeeleza kuwa chama hicho kimepoteza mtu mahiri katika kuendeleza tasnia ya habari nchini.

“Tunatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, marafiki, waandishi wa habari za michezo na wanamichezo wote kwa ujumla kutokana na msiba huo mkubwa.

“Tutaendelea kumkumbuka Mzee Mwenda kwa mambo mbalimbali ambayo aliyafanya wakati wa uhai wake katika kuimarisha chama chetu na tasnia ya tasnia ya habari  kwa ujumla.

“Tunaungana na wote wanaomboleza kwa ajili ya kifo chake,​​ kumwombea apate pumziko la milele,”imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
MNH-Mloganzila
MNH-Mloganzila
1 month ago

MNH-Mloganzila

MAPINDUZI1.GIF
MNH-Mloganzila
MNH-Mloganzila
1 month ago

MNH-Mloganzilaa

MAPINDUZI.GIF
MAPINDUZI YA ELIMU
MAPINDUZI YA ELIMU
1 month ago

WAZO JADIDIFU UKIONA WEKAZO HAWAFANYI KAZI KAMA RAIS WA TANZANIA (HAFANYI KAZI VIZURI KABISA) NA UNATAKIWA UPINDUE NCHI UTATUMIA CHOMBO GANI CHA HABARI… MAPINDUZI YA KIJESHI MATHARANI KUTAKUA NA RAIS AJAE KAMA MKAPA HUKO
·        THE GUARDIAN,
·         THE CITIZEN,
·         MWANANCHI,
·         DAILY NEWS,
·        NIPASHE,
·        TBC TAIFA,
·         RFA,
·        RADIO ONE,
·        CLOUDS FM,
·        TBC1,
·        ITV, NA
·        AZAM TV.

Najma
Najma
1 month ago

huyu demu aliyecheza na diamond JEJE MZURI SANA ANAPATIKANA MKOA GANI ANATAFUTWA… TUMPE MAUA YAKE ANASTAHILI KUWA NA WAJUKUU 90… NAENDA KUJENGA HOTEL KWA SABAU YAKE

OIP.jpeg
Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x