Tennis yaipamba Hifadhi ya Serengeti

SERENGETI: MCHEZA Tennis mashuhuri duniani, John McEnroe, ameshinda kwa mara ya kwanza mchezo maalum wa Tennis Serengeti baada ya kumpiku mchezaji mwingine nguli ambaye ni mdogo wake, Patrick McEnroe.
Mchezo huo umechezwa katikati ya Hifadhi ya Serengeti na kuweka historia ya aina yake duniani kuwa mechi ya kwanza kuchezwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa mchezo huo.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa vikombe, Patrick, kwa niaba ya kaka yake na wenzao waliokuja Tanzania wameungana na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, kuomboleza na kutoa pole kwa waathirika wote wa mafuriko yaliyotokea mjini Katesh mkoani Manyara.

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button