Twendeni uwanjani tuwape  nguvu Stars

DAR ES SALAAM; LEO Ijumaa Agosti 22, 2025 kuanzia saa 2:00 usiku , timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Satrs’ itakuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuivaa Morocco mchezo wa robo fainali wa michuano ya Mabingwa wa Afrika jwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).

Wimbo kwa wakazi wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani ni: “Twendeni Uwanja wa Mkapa kwa wingi kuwapa raha wachezaji wetu wajione kweli wapo nyumbani. “

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, kauli yake wiki hii ni kuwaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi ili kuwapa nguvu vijana wake.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button