Ujenzi wa ukumbi ustawi utagharimu milioni 626

DAR ES SALAAM: CHUO cha Ustawi wa Jamii kimeahidi kwamba ujenzi wa ukumbi wa mihadhara katika kampasi yake ya Kijitonyama, Dar es Salaam, utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa, licha ya changamoto za kifedha.

Akizungumza mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mkuu wa Chuo hicho, Dk. Joyce Nyoni, alisema wanajitahidi kukamilisha mradi huo ifikapo Juni mwaka huu, huku wakikabiliwa na changamoto za mtiririko wa fedha.

Ujenzi wa ukumbi huo unaofadhiliwa kwa mapato ya ndani ya chuo, umegharimu kiasi cha Sh. Milioni 626,405,367. Mradi huo ulianza Julai mwaka jana, na ukumbi huo unatarajiwa kuchukua wanafunzi 400. Meneja wa mradi huo ni wataalamu wa ndani ya chuo, huku fundi kutoka Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT) akichangia katika utekelezaji wa kazi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Fatma Taufiq, aliipongeza chuo kwa jitihada za kuboresha miundombinu ya elimu, na kusema kwamba kamati yake itawasilisha taarifa hiyo bungeni kwa hatua zaidi.

Ziara hiyo ya kamati iliongozwa na Fatma Taufiq na ilihudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaid Ali Khamis.

SOMA: Kamati ya bunge yatoa 5 zahanati Bulyanhulu

Habari Zifananazo

13 Comments

  1. What i do not realize is actually how you’re no longer actually a lot more smartly-favored than you might be now.
    You are very intelligent. You realize thus considerably in the case
    of this subject, made me in my opinion believe it from so many
    numerous angles. Its like men and women don’t seem to be interested except
    it’s something to do with Girl gaga! Your own stuffs nice.
    All the time handle it up!

  2. I’m impressed, I must say. Seldom do I encounter
    a blog that’s equally educative and interesting,
    and let me tell you, you’ve hit the nail on the head.
    The problem is something not enough folks are speaking intelligently about.
    I am very happy I came across this during my search for something relating
    to this.

  3. Hello! I know this is kinda off topic however , I’d figured I’d ask.
    Would you be interested in trading links or maybe guest authoring a
    blog article or vice-versa? My blog discusses a lot of
    the same subjects as yours and I feel we could greatly benefit from each other.

    If you are interested feel free to shoot me an email.

    I look forward to hearing from you! Fantastic blog
    by the way! http://Sl860.com/comment/html/?270519.html

  4. I do accept as true with all of the ideas you have offered to your post.

    They are really convincing and will definitely work.
    Nonetheless, the posts are very quick for beginners. Could you please prolong
    them a little from subsequent time? Thanks for the post.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button