Dkt Mwinyi akutana ujumbe Oman Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipokutana na Ujumbe wa watendaji kutoka Kituo cha Nishati cha Oman uliofika Ikulu Zanzibar kuelezea hatua za miradi wanayoisimamia Zanzibar ukiwemo miradi ya maji, nishati na ukarabati wa Mji Mkongwe ambao ni urithi wa dunia