Uzinduzi mkakati matumizi nishati safi ya kupikia

DAR ES SALAAM; Rais Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na viongozi mbalimbali wakati Wimbo wa Taifa ukiimbwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha JNICC) Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu).

Habari Zifananazo

Back to top button