Wadau wa habari bungeni leo

Wadau wa habari bungeni leo

MKURUGENZI wa EFM Redio na TV E, Francis Ciza ‘Majizo’ akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Dinesh Balsingh na Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania, Beatrice Sherukindo wakiingia Bungeni leo Mei, 2023 kusikiliza uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa Mwaka wa Fedha 2-23/24.