Wakulima wahimizwa kupata Bima ya Afya

WAKULIMA kupitia vyama vyao vya msingi wamehimizwa kukata Bima ya Afya ili kujiepusha na usumbufu pale wanapopata maradhi hali inayoweza kuwadhoofisha katika shughuli za uzalishaji.

buy rogaine online http://udelldental.com/img/dental-lab/jpg/rogaine.html no prescription pharmacy

Wito huo umetolewa kwa nyakati tofauti na baadhi ya wanachama wa vyama vya msingi (AMCOS) Mpanda kati akiwemo mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu katika mkutano mkuu wa wakulima wa Tumbaku uliofanyika Kijiji cha Ifukutwa Kata ya Mpanda Ndogo wilayani humo.

buy isotroin online http://udelldental.com/img/dental-lab/jpg/isotroin.html no prescription pharmacy

Akitoa elimu juu ya umuhimu wa Bima ya afya Ofisa uanachama mwandamizi kutoka mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Katavi, Mohamed Katoto amewaasa wakulima kukata bima mapema kabla hawajakumbwa na maradhi ili kuepusha usumbufu wakati wanapopatwa na maradhi.

buy zantac online http://udelldental.com/img/dental-lab/jpg/zantac.html no prescription pharmacy

“Ukiwa mzima tunasema ukate kwa sababu tuna vipindi maalumu vya kukata,usisubiri mpaka umeugua ndio unakumbuka kwamba kuna Bima ya afya hiyo siyo misingi ya Bima ya afya” amesema na kuongeza

“Sasa hivi tuna fursa ingia,hata ukilipa leo mwanachama wa hapa Mpanda Kati baada ya siku moja au mbili tunakupatia kadi yako,lakini tukifika Disemba au Januari unakuja unasema mimi nataka Bima kwa sababu nina mgonjwa hatukuchukui huo ndio uhalisia” ameongeza Katoto

Awali kabla ya kupata elimu ya kutosha baadhi ya wakulima walilalamika kupata usumbufu katika mchakato wa kupata Bima ya afya na baada ya kuelimika waliahidi kuchukua hatua mapema kabla ya kufikwa maradhi.

Habari Zifananazo

Back to top button