MANYARA; Hanang. SERIKALI imesema inaendelea kuwahamisha wananchi ambao nyumba zao hazikuathirika, lakini zipo pembezoni mwa Mlima Hanang, ili kuwaepesha na madhara zaidi.
Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza muda mfupi uliopita leo Desemba 5, 2023 amesema serikali bado inaendelea na jitihada za kuwahamisha wananchi hao na kuwatafutia maeneo mengine, huku juhudi za kurejesha huduma muhimu kama maji, umeme zikiendelea.
Comments are closed.