Wanacheeeka!

DAR ES SALAAM; Viungo wa Yanga, Clatous Chama na Pacome Zouzoua wakifurahi wakati walipokutana kwa mara ya kwanza kwenye mazoezi ya timu hiyo Julai 9, 2024. Chama amejiunga na Yanga dirisha hili la usajili akitokea Simba ya Dar es Salaam. (Picha ya mtandao wa Yanga).

Habari Zifananazo

Back to top button