Wanafunzi 19 wafutiwa matokeo kwa kuandika matusi

DAR ES SALAAM : BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 19, wakidaiwa waliandika matusi kwenye karatasi zao za majibu ya upimaji wa kitaifa, ambapo 11 ni kidato cha pili na wanane darasa la nne.

Akitangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili leo Januari 10, 2026, Katibu Mtendaji wa NECTA Prof. Said Mohamed, amesema Baraza limefuta matokeo 41 waliofanya udanganyifu na wanane waliondika matusi kwenye karatasi zao za majibu upimaji wa kitaifa wa darasa la nne.

Pia amesema NECTA imefuta matokeo ya wanafunzi 29 waliofanya udanganyifu na 11 walioandika matusi katika karatasi zao za upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili.

Habari Zifananazo

3 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button