Wananchi kufaidika Hifadhi ya Msitu wa Ndechela

WIZARA ya Maliasili na Utalii imepanga kutoa asilimia 10 ya Hifadhi ya Msitu wa Ndechela ulioko wilayani Nanyumbu pamoja na hekari 2,500 kwa Kijiji cha Mkopi, ili zitumiwe na wananchi kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

online pharmacy bactroban no prescription with best prices today in the USA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana amezungumza hayo leo mkoani Mtwara kwenye ziara ya Kamati ya Mawaziri nane wa Kisekta inayoshughulikia migogoro ya ardhi nchini.

online pharmacy zithromax no prescription with best prices today in the USA

Balozi Dk Chana amesema licha ya tafsiri ya kisheria kuonesha kuwa wananchi wamelifuata eneo hilo busara za serikali imeona iliachie eneo hilo la hifadhi litumiwe na wananchi.

Ameitaka jamii kuungana na serikali katika kulinda maeneo yaliyohifadhiwa, ili yatumike kwa faida ya Watanzania wote pia akikemee tabia ya baadhi ya watu wachache wanaovamia maeneo hayo kuanzisha shughuli za kibinadamu, zikiwemo za kilimo na ufugaji.

online pharmacy abilify no prescription with best prices today in the USA

Habari Zifananazo

Back to top button