Washindi 8 wa Maokoto wapatikana

WASHINDI 8 wa kwanza wa Kampeni ya Maokoto Chini ya Kizibo wamepatikana.

Washindi hao wamepatikana kupitia promosheni ya bia ya Serengeti, ambapo Meneja wa Chapa ya Serengeti Premium Larger na Serengeti Lite, Ester Raphael, akiwa na Balozi wa Maokoto Ndani ya Kizibo, Billnas walitangaza washindi hao.

Meneja huyo amewataja washindi hao kuwa ni Rajabu Bakari, Waziri Jamali, Amina Haji, Joachim Kimario, Angel Edward, Melina Fransis, Geofrey John na Selemani Kibiki ambao kila mmoja ameshinda Sh 500,000.

Akizungumza wakati wa kutangaza washindi hao, Bilnass ametoa wito kwa wananchi kuchangamkia fursa ya kushiriki kampeni hiyo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button