Wauawa kwa kuchinjwa wivu wa mapenzi

KATAVI; Tanganyika. Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi Katalina Juma (21) na Athanas Alyen ( 23) wakazi wa Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamekutwa wakiwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali, huku chanzo kikidiwa ni wivu wa mapenzi.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Oktoba 19,2023 katika Kitongoji cha Imbambe, Kijiji Cha Kagwira, Kata ya Kabungu, ambapo marehemu hao wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchinjwa na kutupwa pembezoni mwa barabara.

Mwenyekiti wa Kijiji cha Kagwira, Shila Benedicto amesema marehemu hao walikutwa na madhila hiyo wakiwa njiani kurudi nyumbani wakitokea Kijiji cha Kabungu walikokuwa wakifanyia shughuli zao.

Akithibitisha kutokea tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema wanawashikilia watu wawili kwa ajili ya mahojiano, huku akieleza kuwa tukio hilo lina sura ya wivu wa kimapenzi kwa kuwa wamebaini mmoja wa marehemu alikuwa akiwasiliana na watu ambao walikuwa wapenzi wake.

Kamanda ngonyani amesema Jeshi la Polisi linaendelea na upelelezi wa tukio hilo na mara utakapokamilika watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani.

 

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Work AT Home
Work AT Home
1 month ago

I make up to $90 an hour working from my home. My story is that I quit working at Walmart to work online and with a little effort I easily bring in around $40h to $86h… Someone was good to me by sharing this link with me, so now i am hoping i could help someone else out there by sharing this link… 

Try it, you won’t regret it!….. http://Www.Smartcash1.com

Last edited 1 month ago by Work AT Home
JonelleMadoline
JonelleMadoline
1 month ago

I’m currently generating over $35,100 a month thanks to one small internet job, (w 08q) therefore I really like your work! I am aware that with a beginning capital of $28,800, you are presently making a sizeable quantity of money online.
Just open the link——->> http://Www.SmartCareer1.com

Julia
Julia
1 month ago

I get paid more than $120 to $130 every hour for working on the web. I found out about this activity 3 months prior and subsequent to joining this I have earned effectively $15,000 from this without having internet working abilities.
.
.
Detail Here———————————————————–>>>  http://Www.BizWork1.Com

MaryShield
MaryShield
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by MaryShield
Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x