Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akingoza shughuli ya kumuaga, Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Frederick Werema aliyefariki Desemba 30, 2024 kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu kwenye ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.
Jaji Werema amezaliwa Oktoba 10, 1955 na anatarajiwa kuzikwa Januari 04, 2025 Butiama, Mkoa wa Mara.(Picha na Samwel Swai)